Rural Consultancy Company Limited

Rural Consultancy Company Limited

Share

RCCL envisages becoming an effective and efficient consultancy and training services provider in rur no. 58256 on 2006 with its head office in Dodoma Tanzania.

Rural Consultancy Company Limited is a survey, training and consultancy private company; Limited by shares, registered under the Companies Act, 2002, reg. The Company is established by a team of professionals pulling in the nine years experience in Rural Financial Services Development and from the diverse academic and professional backgrounds having firsthand experiences in rural community develop

23/01/2020

Hi we are in 2020 with more innovations that will satisfy and take you to another development level, partculary for village development, we provide village planning, and village strategic develpement, collective market (crop market, financial markets, input markets and insurance services) analysis for deifferent value chains, and support in writting village or twonship development proposals.

CLOSE OUT MEETING BETWEEN  GLOBAL COMMUNITIES AND STAKEHOLDERS 19/09/2019

Global Communities was implemented the AIMS Project, [Agribusiness Investment for Market Stimulation (AIMS) Program] which aimed to:-
• Increased bank lending to agribusiness SMEs
• Increased trade value and trade volumes
• Expanded buyer – seller networks
• Increased to market information
As RCCL, we are among key Stakeholder's that supporting this implementation.
The Closeout meeting was held on September 9, 2019

Photos from Rural Consultancy Company Limited's post 19/05/2019

Pichani ni matenga yanayotumika asili yanayotumika kuhifadhi nyanya na matunda baada ya kuvuna japo kuna vifaa vingine bora viliboreshwa kwa ajili ya uhifadhi. Kwani uvunaji na uhifadhi mzuri huongeza thamani ya zao husika. Karibu tukushauri njia bora za uvunaji na uhifadhi kwa zao husika ili kuongeza thamani ya zao husika.

Mafunzo ya Kamati za Usimamizi - PCCB SACCOS na ST. JOHN SACCOS 19/05/2019

Mafunzo yalianza tarehe 13 May, 2019 hadi 16 May 2019

Mafunzo yalifanyikia katika ukumbi wa LAPF Dodoma.

Mahudhurio ni wajumbe 5 wa Kamati za Usimamizi (PCCB SACCOS wajumbe 3 na ST.JOHN SACCOS wajumbe 2)

Mada walizofundishwa ni:

1. Sheria na Kanuni za Ushirika
2. Uongozi na Utawala wa SACCOS
3. Makisio ya mapato na matumizi
4. Mtiririko wa fedha
5. Udhibiti wa ndani katika SACCOS
6. Utoaji na usimamizi wa mikopo
7. Mmaeneo ya ukaguzi
8. Mtaji wa SACCOS
9. Namna ya kuendesha ukaguzi
10. Kuandaa taarifa ya ukaguzi
11. Kutengeneza mpango kazi

Washiriki walikabidhiwa vyeti vya kushiriki na Mkurugenzi wa RCCL

Mafunzo ya kuandaa Mpango Mkakati (Strategic Business Plan) 01/04/2019

Global Communities wakishirikiana na Rural Consultancy Company Ltd wakiwajengea uwezo wajumbe wa bodi na Meneja wa Geita Cooperative Union Ltd kuanda Mpango Mkakati (Strategic plan) 2019/2020 hadi 2022/2013.
Waliohudhuria walikuwa wajumbe wa bodi ya Geita coop. Union, meneja na Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Geita.
Mafunzo haya yalifanyika tarehe 20 hadi 21 March 2019 katika ukumbi wa Lenny Hotel mkoani Geita

16/03/2019

Mama akifurahia ustawi mzuri wa mazao yake.

Karibuni rccl tukushauri kuanzia uchaguzi wa sahihi wa pembejeo (mbegu), kilimo cha kisasa, uvunaji, mnyororo wa thamani mpaka upatikaji wa masoko

Photos from Rural Consultancy Company Limited's post 15/03/2019

Zijue faida za kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya matone (Drip Irrigation)
1. Matumizi kidogo ya maji
2. Hupunguza gharama , umwagiliaji hui hupunguza gharama za wafanyakazi ukilinganisha na umwagiliaji mwingine
3. Huongeza uzalishaji , mimea ikipata maji inavyotakiwa hukua vizuri na kuwa na kuongeza uzalishaji

Karibuni rccl tuwahudumie katika ufungaji wa mifumo ya umwagiliaji kwenye mashamba kwa ukubwa mbalimbali

15/03/2019
Mafunzo kwa SUFA Regional Managers 02/03/2019

RCCL kwa kushirikiana na Vodacom TZ pamoja na Global Communities wakiwafundisha SUFA Regional Managers namna ya kusajili Field Officers (Wenyeviti wa Vikundi) na jinsi ya kusajili Wakulima wa zao la Alizeti katika Mfumo wa Kilimo na Masoko

Mafunzo yalifanyika tarehe 26 Feb 2019 katika ofisi ya SUFA iliyopo Mkoani Dodoma;

Washiriki walitoka Mikoa ya Iringa, Singida na Geita (Wilaya ya Chato)

KIKAO CHA WADAU WA VYAMA VYA USHIRIKA 09/02/2019

Kikao cha Wadau wa Vyama vya Ushirika pamoja na Mrajis wa Vyama vya Ushirika

Kilichofanyika siku ya Taehe 5 - 6 Februari, 2019

Kikao kilifanyika katika Ukumbi wa KINGS WAY HOTEL iliyopo Mkoani MOROGORO.

MADA ZILIZOJADILIWA NI:
1. Maelekezo ya Mrajis kuhusu watoa huduma ya ukaguzi wa nje na COASCO
2. Sheria ya vyama vya Ushirika na Kanuni zake na mikataba
3. Udhibiti na usimamizi ya Vyama vya Ushirika
4. Tehama
5. Changamoto za watoa huduma na vyama

Watoa huduma waliohudhuria ni 34 ( Wakusanya madeni, Wakaguzi wa nje, Watoa mafunzo, na Tehama)

MAFUNZO KWA VYAMA VYA USHIRIKA - BABATI - MANYARA 26/01/2019

RCCL imetoa mafunzo kwa AMCOS 8 na UNION 1 toka Mkoa wa MANYARA; siku ya tarehe 24.01.2019 katika HOTEL YA MAMA ANGO kwa kushirikiana na Global Communities
Mada zilizofundishwa ni pamoja na:-
• Access to finance (loan eligibility challenges) - Aina ya mikopo na mahitaji wakati wa kuomba mkopo
• Co-operative access to market (new market penetrations) - Utafutaji wa masoko

Vyama vilivyopatiwa Mafunzo hayo ni:

1. MAGUNGU AMCOS
2. DIDIHAMA AMCOS
3. GALLAPO AMCOS
4. NAMIBIS AMCOS
5. MKOMBOZI AMCOS
6. HOMARI AMCOS
7. CHAUNA AMCOS
8. ZIWAMU AMCOS
9. RIVACU - RIFT VALLEY COOPERATIVE UNION

Walihudhuria wajumbe wa bodi za AMCOS - 16 na UNION - 1 Jumla ya washiriki ni 17

01/01/2019

Uongozi wa RCCL unatoa pongezi na shukurani kwa wote waliopitia ukurasa wetu mwaka 2018. Tunawatakia heri na baraka za 2019 na tunawaomba muendelee kupitia ukuwasa wetu kwa kuwa yapo mengi tuliyowaandalia mwaka huu 2019

Want your business to be the top-listed Accountant in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Regional Library
Dodoma
026

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00