05/01/2018
Mradi Mpya wa Viwanja Makurunge!!!
Kwa Wanavyuo wasiliana nasi kwa namba 0766 860936 ili kupata ofa maalumu ya wanavyuo ya malipo ya kila mwezi bila malipo ya awali.
Safari za kuona viwanja hufanyika kila Jumamosi.
04/01/2018
Uongozi na wafanyakazi wa kampuni za VKP Investment for YOUTH na CRM Financial Services, chini ya kampuni yao ya CRN Foundation wakitembelea na kutoa msaada kwenye kituo cha kulelea watoto cha Malaika Kids kilichopo Mwananyamala.
CRN Foundation inahusika na miradi ya kutoa mikopo ya ardhi na kilimo kwa vikundi pamoja na kuendesha miradi ya kusaidia jamii kwa niaba ya Kampuni za VKP Investment na CRM Financial Services.
31/12/2017
Education is the key to success.
CRM Financial Services is the key to graduation with a home and financial stability.
Set your goals right this new year to graduate with Honors and a Home.
We Wish You a Happy New Year!!!
20/12/2017
Ardhi University tumewafikia. Tuko hapa chuoni leo na kesho (20 & 21 Desemba) kuwaelezea fursa ya kipekee ya mkopo wa viwanja na mashamba.
Njoo tuzungumze.
19/12/2017
Leo tuko CBE Dar es Salaam Campus. Karibu uje kusikia ofa tuliyonayo ya mikopo ya viwanja na mashamba kwa wanavyuo.
19/12/2017
Mikopo Inapatikana kwa:
- Wanavyuo kuanzia mwaka wa pili wa chuo.
- Malipo Miaka 6
- Haina Malipo ya Awali
Kwa Wanavyuo wenye Usajili Halali kutoka chuo chochote Tanzania.
Gharama ya Kujisajili Tshs 50,000/-
Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana nasi kwa 0766 860 936
14/12/2017
CRM Financial Services inapenda kutambulisha mradi wake mpya ambao ni maalumu kwa wanavyuo.
Tunatoa mikopo ya viwanja/mashamba, mifugo na samani bila ya riba wala dhamana.
Kwa maelezo zaidi unaweza kutupigia simu 0766 860 936
"Where Dreams Get Wings"